KANDA YA MARA

Kanda ya Mara inahudumia mkoa wa kijiografia wa Mara nchini Tanzania. Kanda hii ina majimbo matano ambayo ni Musoma, Tarime, Bunda, Serengeti na Lorya. Kupata taarifa kuhusu majina na mawasiliano ya Viongozi wanaohudumu katika majimbo yaliyo katika Kanda hii bonyeza hapa. Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2026, Kanda hii ina makanisa 500.

 

Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Mara wanaohudumu katika kipindi hiki:
Jina Cheo Namba ya Simu Barua-pepe ya Ofisi Barua-pepe Binafsi
Joshua Maswi Askofu wa Kanda +255 767 478 006 Askofu.Kanda-16@eagt.or.tz Joshua.Maswi@eagt.or.tz
Sebastian Bwiri Makamu Askofu wa Kanda +255 783 349 416 Makamu.Askofu.Kanda-16@eagt.or.tz Sebastian.Bwiri@eagt.or.tz
Charles Mgusi Katibu wa Kanda +255 769 384 355 Katibu.Kanda-16@eagt.or.tz Charles.Mgusi@eagt.or.tz
Musa Onyayo Mhazina wa Kanda +255 758 177 338 Mhazina.Kanda-16@eagt.or.tz Musa.Onyayo@eagt.or.tz