KANDA YA MARA
Kanda ya Mara inahudumia mkoa wa kijiografia wa Mara nchini Tanzania. Kanda hii ina majimbo matano ambayo ni Musoma, Tarime, Bunda, Serengeti na Lorya. Kupata taarifa kuhusu majina na mawasiliano ya Viongozi wanaohudumu katika majimbo yaliyo katika Kanda hii bonyeza hapa. Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2026, Kanda hii ina makanisa 500.
Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Mara wanaohudumu katika kipindi hiki:
Joshua Maswi
(Askofu wa Kanda)
(Askofu wa Kanda)
Sebastian Bwiri
(Makamu Askofu wa Kanda)
(Makamu Askofu wa Kanda)
Charles Mgusi
(Katibu wa Kanda)
(Katibu wa Kanda)
Musa Onyayo
(Mhazina wa Kanda)
(Mhazina wa Kanda)
| Jina | Cheo | Namba ya Simu | Barua-pepe ya Ofisi | Barua-pepe Binafsi |
|---|---|---|---|---|
| Joshua Maswi | Askofu wa Kanda | +255 767 478 006 | Askofu.Kanda-16@eagt.or.tz | Joshua.Maswi@eagt.or.tz |
| Sebastian Bwiri | Makamu Askofu wa Kanda | +255 783 349 416 | Makamu.Askofu.Kanda-16@eagt.or.tz | Sebastian.Bwiri@eagt.or.tz |
| Charles Mgusi | Katibu wa Kanda | +255 769 384 355 | Katibu.Kanda-16@eagt.or.tz | Charles.Mgusi@eagt.or.tz |
| Musa Onyayo | Mhazina wa Kanda | +255 758 177 338 | Mhazina.Kanda-16@eagt.or.tz | Musa.Onyayo@eagt.or.tz |